DCEA  YAFYEKA MASHAMBA YA BANGI KONDOA

Na Mwandishi Wetu,Kondoa  Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA), kwa kushirikiana na Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Wilaya ya Kondoa pamoja na wananchi wa Kata ya Haubi, wamefanikisha operesheni maalum ya kutokomeza kilimo haramu cha bangi katika maeneo ya Hifadhi ya Milima ya Haubi, wilayani Kondoa, mkoani Dodoma. Akizungumza kwa…

Read Full News

TAWLA ILIVYOPAMBANA KUSAIDIA JAMII KWA MIAKA 35

Na Aziza Masoud,Dar es Salaam CHAMA Cha Wanasheria Wanawake Tanzania (TAWLA) kimesema ndani ya miaka 35 wamefanikiwa kusimamia mambo sita muhimu yakiwemo kuwafikia zaidi ya wananchi milioni saba (7,000,000) kwa kutoa huduma zakisheria. Akizungumza jijini Dar es Salaam leo Mei 20, 2025 katika kuelekea maadhimisho ya miaka 35 ya TAWLA,Mkurugenzi Mtendaji wa chama hicho Tike…

Read Full News

JAB YAWATAHADHALISHA WALIOPANGA KUWASILISHA VYETI FEKI KUJISAJILI

Na Aziza Masoud,Dar es Salaam MWENYEKITI wa Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB),Tido Mhando ametangaza rasmi kuanza kwa usajili wa waandishi wa habari katika mfumo wa TAI-Habari huku akiwaonya wasiokuwa wanataaluma lakini wamo kwenye tasnia waliojipanga kughushi vyeti ambavyo si halali wakati wa kujaza taarifa zao. Mhando ametangaza tahadhali hiyo leo Mei 19,…

Read Full News