UANDISHI WA HABARI NI TAALUMA ANAYEFANYA KAZI LAZIMA AWE NA VIGEZO
Na. Mwandishi Wetu – MAELEZO, Mbeya WAZIRI wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Prof. Palamagamba Kabudi amesema uandishi wa Habari na utangazaji ni taaluma kama zilivyo taaluma nyingine nchini akisisitza kuwa mtu yeyote anayetaka kutekeleza majukumu yanayohusiana na tasnia hiyo nchini Tanzania, lazima awe na elimu na vigezo vinavyotakiwa. Prof. Kabudi amesema hayo leo Agosti…

