
MADINI YA ALMASI YA SH BILIONI 1.7 YAKAMATWA YAKITOROSHWA UWANJA WA NDEGE MWANZA
Na Mwandishi Wetu,Mwanza Madini ya almasi yenye thamani ya zaidi ya Sh1.7 bilioni yamekamatwa yakitoroshwa kupitia Uwanja wa ndege wa Mwanza. Akizungumza na waandishi wa habari ljumaa usiku,Mei 23, 2025, Waziri wa Madini, Anthony Mavunde amesema madini hayo yalikamatwa Mei 18, 2025 kwa ushirikiano kati ya vyombo vya ulinzi na taasisi mbalimbali za Serikali na…