SERIKALI YAIPA KONGOLE ORYX UHAMASISHAJI MATUMIZI NISHATI SAFI
Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaam WIZARA ya Nishati imewapongeza wadau wakiwemo Oryx Gas kwa kushiriki kikamilifu katika kufanikisha mkakati wa kuhakikisha wananchi wote wanatumia nishati safi ya kupikia na kuachana na matumizi ya kuni na mkaa ambayo yamekuwa na madhara ya kiafya na kimazingira. Hayo yameelezwa jijini Dar es Salaam na Mkurugenzi Mkuu wa Nishati…

