MHANDISI MRAMBA AFUNGUA MAFUNZO YA TEKNOLOJIA YA NISHATI JUA KWA WATAALAM
Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaa KATIBU Mkuu wa Wizara ya Nishati, Mha. Felchesmi Mramba amefungua mafunzo ya wataalam kutoka taasisi mbalimbali nchini yanayohusu usanifu, utengenezaji na ufungaji wa mifumo ya Nishati ya Jua na matumizi yake. Matumizi hayo ni kuchemsha, kupika, kupoza maji pamoja na kukausha mazao kwa kutumia nishati ya Jua. Akifungua mafunzo hayo…

