MGOMBEA URAIS CCM ACHUKUA FOMU KUGOMBEA KITI CHA URAIS 2025, APOKEWA KWA DUA NA MICHANGO YA WANANCHI CHAMWINO
Na Asha Mwakyonde, DODOMA MGOMBEA wa kiti cha urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Taifa wa Chama hicho na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan, leo Agosti 9, 2025, amefika katika Ofisi za Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) kuchukua fomu ya kugombea urais…

