VIJANA WA VYAMA VYA USHIRIKA KUNUFAIKA NA MKOPO WA BILIONI 8.5
Na Asha Mwakyonde, DODOMA BENKI ya Ushirika Tanzania (Coop Bank), kwa kushirikiana na Mfuko wa Pembejeo wa Kilimo (AGITIF), imeanza kutoa mkopo wa Shilingi bilioni 8.5 kwa vijana na wanachama wa vyama vya ushirika kutoka maeneo mbalimbali nchini, ikiwa ni hatua ya kuwawezesha wakulima kuongeza tija na uzalishaji mashambani. Akizungumza katika Maonesho ya Wakulima na…

