
‘WATOTO WENYE UTINDIO WANA HAKI SAWA KAMA WENGINE’
Na Aziza Masoud,Dar es Salaam JAMII imetakiwa kutokuwaficha watoto wenye utindio wa ubongo kwani ni watoto kama walivyo wengine na kwamba kufanya hivyo kunazidi kuwaongezea unyonge zaidi. Wito huo umetolewa na Doreen Fitzpatrick ambaye ni Mtanzania anayeishi Marekani na Mkurugenzi wa Sassyfly Luxury Event wakati akitoa msaada katika Kituo cha kulelea watoto wenye Utindio wa…