
UPANUZI WA KITUO CHA KUPOZA UMEME MBAGALA MBIONI KUKAMILIKA
Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaam Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) Lazaro Twange amesema wananchi wa maeneo ya Mbagala na viunga vyake sasa wanatarajia kupata umeme wa uhakika baada ya Kituo cha kupokea na kupoza umeme cha Mbagala kuongezewa uwezo kutoka Megawati 45 za awali na kufikia Megawati 165. Akizungumza na waandishi wa…