
KONGAMANO LA KWANZA LA NISHATI SAFI YA KUPIKIA AFRIKA MASHARIKI LAFANYIKA ARUSHA
Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaam Wadau mbalimbali kutoka Nchi za Afrika Mashariki wamekutana jijini Arusha katika Kongamano la kwanza Nishati Safi ya Kupikia la Afrika Mashariki linalolenga kujadili masuala mbalimbali yatakayowezesha Jumuiya hiyo kuondokana na matumizi ya Nishati isiyo safi ya kupikia na kwenda kwenye nishati safi ya kupikia. Akimwakilisha Naibu Waziri Mkuu na Waziri…