
PROFESA MBARAWA:ATCL YAANZA RASMI KWENDA KINSHASA
Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaam SERIKALI kupitia Wizara ya Uchukuzi imezindua rasmi safari za ndege ya Air Tanzania kati ya Dar es Salaam, Tanzania na Kinshasa, DRC ambapo hafla hiyo imehudhuriwa na viongozi mbalimbali wa serikali, wawekezaji, na Mabalozi Akizungumza kwenye uzinduzi huo Waziri wa Uchukuzi wa Tanzania, Prof Makame Mbarawa ametoa pongezi kwa Viongozi…