
NIDA kufungia matumizi vitambulisho vilivyotelekezwa Serikali za Mitaa
Na Aziza Masoud, Dar es SalaamMAMLAKA ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) imetangaza kufungia matumizi ya namba za utambulisho vya Taifa (NINs) kuanzia Mei Mosi mwaka huu kwa watu wote ambao wametumiwa ujumbe wa kuwataka kuchukua vitambulisho hivyo na hawajatekeleza. Kauli hiyo imetolewa jijini Dar es Salaam leo Aprili 14, 2025 na Mkurugenzi Mkuu wa NIDA…