MAMA JANETH MAGUFULI ATEMBELEA BANDA LA OFISI YA WAZIRI MKUU SABASABA
NA. MWANDISHI WETU – DAR EA SALAAM Mke wa aliyekuwa Rais wa Tanzania, Hayati Dkt. John Pombe Magufuli, Mama Janeth Magufuli ametembelea banda Jumuishi la Ofisi ya Waziri Mkuu kwenye Maonesho ya 49 ya Biashara ya Kimataifa (SABASABA) Jijini Dar es Salaam na kupokelewa na viongozi wa ofisi hiyo. Akiwa katika banda hilo, Mama Janeth…

