GCLA YAWAITA WAJASIRIAMALI WANAOHUSIKA NA KEMIKALI KUJISAJILI SABASABA
MAMLAKA ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali (GGLA) imewataka wajasiriamali wanaojishughulisha na kemikali kufika katika Maonesho ya 49 ya Kimataifa Biashara Dar es Salaam (DITF) ili kuweza kupata elimu kuhusu kemikali pamoja na kufanya usajili wa bidhaa hiyo Akizungumza Julai 5, 2025 katika viwanja vya maonesho ya Sabasaba Mkurugenzi wa Huduma za Uchunguzi wa…

