WAAJIRI WATAKIWA KUWEKA MAZINGIRA MAZURI YA KAZI KWA WATUMISHI
Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaam WAAJIRI wametakiwa kuweka mazingira mazuri ya kazi kwa wafanyakazi ili wafanyakazi waweze kufanya kazi na waone fahari kuitumikia kampuni ama taasisi husika Akizungumza jijini Dar es Salaam jana katika kikao kazi cha Chama Cha wafanyakazi wa Serikali ,a Mitaa (TALGWU) na waajiri,Afisa Tawala mkuu wa jiji la Dar es Salaam…

