VETA YAWAITA VIJANA KUONGEZA UJUZI KAZI ZA NDANI
Na Aziza Masoud,Dar es Salaam MAMLAKA ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) inaendelea kuwahamasisha vijana na makundi mbalimbali kuendelea kufika katika vyuo vyao kwa ajili yakupata mafunzo ya kazi za majumbani ili kuongeza ufanisi na kupata soko la nje ya nchi. Akizungumza leo Julai Mosi, 2030 katika Viwanja vya Maonesho ya 49 ya…

