
RAIS SAMIA ATAJA MAFANIKIO SEKTA YA NISHATI 2020-2025
Na Mwandishi Wetu,Dodoma RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ameeleza kuwa Sekta ya Nishati imekuwa na mafanikio makubwa katika kipindi cha miaka mitano. Ameyasema hayo wakati akihitimisha shughuli za Bunge Jijini Dodoma Juni 28, 2025. “Mheshimiwa Spika kutokana na umuhimu wa Sekta ya Nishati kwa maendeleo ya nchi, Serikali…