
KAMISHNA MSTAAFU TFS AFURAHISHWA NA UBUNIFU WA TEHAMA SABASABA
Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaa KAMISHNA Msaidizi Mwandamizi na Meneja wa TEHAMA na Takwimu wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS), Harold Chipanha, amepongeza hatua kubwa za kidigitali zinazotekelezwa na TFS katika Maonesho ya 49 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (DITF) mwaka huu. Chipanha alitembelea banda la TFS mwishoni mwa wiki…