SEKTA YA NISHATI YACHANGIA ASILIMIA 14.4 YA PATO LA TAIFA
Na Mwandishi Wetu,Dodoma Naibu Waziri Nishati, Mhe. Judith Kapinga amesema Sekta ya Nishati ni moja kati ya Sekta tatu nchini ambazo zimechangia ukuaji wa pato la Taifa katika kipindi cha kati ya mwaka 2015 hadi 2025. Kapinga ameyasema hayo wakati akichangia hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Mipango na Uwekezaji Bungeni Jijini Dodoma. “Mheshimiwa Mwenyekiti…

