NOTI MPYA KUANZA KUTUMIKA FEBRUARI MOSI

Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaam GAVANA wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT)  Emanuel Tutuba amesema kuwa Noti Mpya za Tanzania zenye Saini ya Waziri wa Fedha,Dk.Mwigulu Nchemba  na yeye mwenyewe, za toleo la mwaka 2010, zitaingia kwenye mzunguko kuanzia Februari Mosi mwaka huu. Gavana Tutuba amesema hayo wakati akimkabidhi  Dkt. Nchemba, Noti kifani za shilingi…

Read More

WAANDISHI WA HABARI JIJINI DAR ES SALAAM WAPATA ELIMU YA MAGONJWA YALIYOKUWA HAYAPEWI VIPAUMBELE

Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaam TIMU ya Wataalamu kutoka Mpango wa Taifa wa Kudhibiti Magonjwa Yaliyokuwa Hayapewi Kipaumbele (NTDCP) imetoa mafunzo kwa waandishi wa habari mkoani Dar es Salaam ili kujenga uelewa kwa waandishi hao na jamii kwa ujumla Mafunzo hayo ni hatua muhimu ya utoaji elimu kwa umma kuhusu magonjwa Matano yaliyokuwa hayapewi kipaumbele…

Read More

DCEA YAVUNJA REKODI UKAMATAJI DAWA ZA KULEVYA 2024

Na Aziza Masoud,Dar es Salaam MAMLAKA ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) kupitia operesheni maalum kwa mwaka 2024  imekamata  kilogramu 2,327,983.66 za dawa za kulevya ikiwemo kg 448.3 zilizokuwa zimefichwa ndani ya Jahazi lililosajiliwa nchini Pakstani kwa namba B.F.D 16548. Akizungumza jana Januari 9,2025 Kamisha Mkuu wa DCEA,Kamishna Jenerali Aretas Lyimo amesema…

Read More