KAPINGA:SERIKALI INABORESHA MIUNDOMBINU KIBITI KUONDOA CHANGAMOTO YA UMEME
Na Mwandishi Wetu,Dodoma Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Judith Kapinga amesema Serikali kupitia Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) inatekeleza miradi mbalimbali ya matengenezo na ukarabati wa njia za kusafirisha na kusambaza umeme katika Wilaya ya Kibiti ili kuondokana na tatizo la kukatika kwa umeme kunakotokana na uchakavu wa miundombinu hiyo. Mhe. Kapinga ameyasema hayo leo…

