DCEA YAKAMATA ZA KULEVYA KWA MKENYA ALIYEKUWA AKIUZA CHAI
Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaam MAMLAKA ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) imemkamata raia wa Kenya, Kilonzo Mwende (35) na gramu 131 za heroin ambapo mtuhumiwa huyo alikuwa akiishi nchini tangu mwaka 2023 akijifanya mfanyabiashara wa kuuza chai ya maziwa katika ofisi mbalimbali. Akizungumza jijini Dar es Salaam Januari 8, 2026 Kamishina…

