WACHIMBAJI WA SHABA WAASWA KUJIUNGA VIKUNDI KUNUFAIKA NA FURSA ZA MAENDELEO

Na Mwandishi Wetu,Dodoma WACHIMBAJI wadogo wa madini ya shaba wilayani Mpwapwa mkoani Dodoma wametakiwa kujiunga katika vikundi ili waweze kunufaika na fursa mbalimbali zinazotolewa na Mradi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Maendeleo (UNDP), unaolenga kuwaendeleza wachimbaji wadogo wa madini ya kimkakati, ikiwemo shaba. Wito huo umetolewa na Mhandisi Chacha Megewa kutoka Tume ya…

Read More

WACHIMBAJI WADOGO DODOMA WAPATIWA MAFUNZO YA USALAMA NA AFYA WA UTUNZAJI WA MIGODI

Na Mwandishi Wetu,Dodoma WACHIMBAJI wadogo kutoka migodi ya shaba iliyopo katika Mkoa wa Dodoma wamepatiwa mafunzo maalum kuhusu usalama mahali pa kazi, afya, utunzaji wa mazingira na usimamizi wa shughuli za uchimbaji. Mafunzo hayo ni sehemu ya jitihada za kuimarisha uchimbaji salama na endelevu nchini. Mafunzo hayo yamewahusisha wachimbaji kutoka Mgodi wa Shengde uliopo Nala,…

Read More

DODOMA KUANDIKA HISTORIA MPYA USAFISHAJI SHABA

Na Mwandishi Wetu,Dodoma Mkoa wa Dodoma unajiandaa kuandika historia mpya katika sekta ya usafishaji wa madini, kufuatia hatua za mwisho za ujenzi wa kiwanda kipya cha Shengde Precious Metal Resources Company Ltd, kilichopo eneo la Nala, ambacho kinatarajiwa kuanza rasmi uzalishaji wa copper cathode mwezi Julai, 2025. Katika ziara maalum ya ukaguzi, Afisa Madini Mkazi…

Read More