
MRADI WA TACTIC WALETA MAGEUZI YA MIUNDOMBINU MOROGORO
Na Mwandishi Wetu,Morogoro Mradi wa Uendelezaji Miundombinu ya Miji Tanzania (TACTIC) unaelezwa kuboresha miundombinu katika Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro hasa baada ya ujenzi wa barabara na mitaro ya maji ya mvua. Hayo yamebainishwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Manispaa ya Morogoro, Bw. Emmanuel Mkongo ambapo ameeleza kuwa miradi ya ujenzi wa mifereji ya maji ya…