ITHIBATI YATAJWA KUIMARISHA UAMINIFU WA SEKTA YA HABARI NA UCHUMI WA VYOMBO VYA UTANGAZAJI
Na Mwandishi Wetu,Dodoma Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB) imesema utekelezaji wa mfumo wa ithibati kwa waandishi na watangazaji wa habari nchini ni hatua ya kimkakati ya kuimarisha uaminifu, weledi na ushindani wa sekta ya habari katika uchumi wa kisasa unaotegemea taarifa sahihi na zenye kuaminika. Akizungumza katika Mkutano Mkuu wa Mwaka wa…

