Skip to content
November 6, 2025
  • HALI YA HUDUMA YA MAJI DAR, PWANI NI SHWARI’
  • MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI: UCHAGUZI MKUU WA 2025 NI HALALI
  • OTHMAN:NITAREJESSHA HADHI YA ZANZIBAR DUNIANI
  • BILIONI 21.9 ZA TACTIS KUJENGA KM 8.4 ZA BARABARA MANISPAA YA MPANDA
Taifa Tanzania

Taifa Tanzania

Gazeti lako la kila siku

  • NYUMBANI
  • KITAIFA
    • BIASHARA
    • SIASA
    • UCHUMI
  • KIMATAIFA
  • MICHEZO
  • BURUDANI
  • MAGAZETI
  • MAKALA
  • GAZETI TAIFA TANZANIA
  • MAWASILIANO
  • Biashara
  • Burudani
  • Fashion
  • Gazeti Taifa
  • Kimataifa
  • Kitaifa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Siasa
  • Uchumi

Chief Editor

Saroj Mhr

Lorem ipsum is simply dummy text
  • NYUMBANI
  • KITAIFA
    • BIASHARA
    • SIASA
    • UCHUMI
  • KIMATAIFA
  • MICHEZO
  • BURUDANI
  • MAGAZETI
  • MAKALA
  • GAZETI TAIFA TANZANIA
  • MAWASILIANO
Youtube Live
Hot News
  • HALI YA HUDUMA YA MAJI DAR, PWANI NI SHWARI’

    4 hours ago4 hours ago
  • MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI: UCHAGUZI MKUU WA 2025 NI HALALI

    1 week ago1 week ago
  • OTHMAN:NITAREJESSHA HADHI YA ZANZIBAR DUNIANI

    2 weeks ago2 weeks ago
  • BILIONI 21.9 ZA TACTIS KUJENGA KM 8.4 ZA BARABARA MANISPAA YA MPANDA

    2 weeks ago2 weeks ago
  • TAJU YASISITIZA AMANI SIKU YA UCHAGUZI

    2 weeks ago2 weeks ago
  • VIONGOZI WA DINI KANDA YA KATI WATAKA AMANI UCHAGUZI MKUU

    2 weeks ago2 weeks ago

Highlight News

Kitaifa
HALI YA HUDUMA YA MAJI DAR, PWANI NI SHWARI’
Kitaifa
MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI: UCHAGUZI MKUU WA 2025 NI HALALI
Kitaifa
OTHMAN:NITAREJESSHA HADHI YA ZANZIBAR DUNIANI
Kitaifa
BILIONI 21.9 ZA TACTIS KUJENGA KM 8.4 ZA BARABARA MANISPAA YA MPANDA
  • Kitaifa

Msajili Hazina: Tuyaishi mafunzo ya mwezi mtukufu wa Ramadhani

taifatz8 months ago8 months ago02 mins

Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaam MSAJILI wa Hazina, Nehemiah Mchechu, amewataka watumishi wa ofisi yake kuutumia mwezi mtukufu wa Ramadhani kama nyenzo ya kufanyakazi kwa bidii na maarifa makubwa kwa faida ya Taifa la Tanzania. Mchechu aliyasema hayo Jumatatu, Machi 24, 2025 wakati wa hafla ya iftar kwa watumishi wa ofisi ya Msajili wa Hazina…

Read More
  • Makala

MIAKA MINNE YAKUTEKEZA MTANDAO WA DAWA ZA KULEVYA NCHINI

taifatz8 months ago8 months ago08 mins

DCEA YAELEZA JINSI ILIVYOVUNJA MITANDAO MIKUBWA YA DAWA MITANO Na Aziza Masoud,Dar es Salaam SERIKALI ya Awamu ya sita imetimiza miaka minne madarakani tangu Rais Dk. Samia Suluhu Hassan alipoingia madarakani Machi 19 mwaka 2021 baada ya kifo cha Rais wa Awamu ya Tano Dk.John Magufuli. Tangu aliposhika wadhifa huo Dk.Samia amekuwa akifanya maboresho na…

Read More
  • Kitaifa

Hazina:Uchambuzi wa bajeti kuchochea ufanisi taasisi za umma

taifatz8 months ago8 months ago04 mins

Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaam TIMU ya wataalamu 53 kutoka Ofisi ya Msajili wa Hazina (OMH) itajifungia kwa wiki mbili, kuanzia Jumatatu (Leo), kufanya uchambuzi wa mipango na bajeti za taasisi na mashirika ya umma, kazi ambayo ni muhimu katika kuhakikisha usimamizi mzuri wa rasilimali za serikali. Mkurugenzi Msaidizi wa Usimamizi wa Mashirika yasiyo ya…

Read More
  • Kitaifa

BARAZA LA SABA LA WAFANYAKAZI WIZARA YA NISHATI LAKUTANA DODOMA

taifatz8 months ago8 months ago02 mins

Na Mwandishi Wetu, Dodoma NAIBU Katibu Mkuu Wizara ya Nishati, Dkt. Khatibu Kazungu leo Machi 22, 2025 amefungua Baraza la saba la Wafanyakazi wa Wizara ya Nishati ambalo limepitia pamoja na mambo mengine Rasimu ya bajeti ya Wizara kwa mwaka wa fedha 2025/2026 na kupitia hoja mbalimbali zilizowasilishwa na TUGHE. Akifungua baraza hilo Dkt. Kazungu…

Read More
  • Kitaifa

BENKI YA EQUITY YAFUTURISHA WATEJA,WADAU MJI MKONGWE ZANZIBAR

taifatz8 months ago8 months ago02 mins

Na Mwandishi Wetu,Zanzibar BENKI ya Equity siku ya jana iliandaa tukio la kipekee la Iftar, likiwa na lengo la kuleta pamoja wadau muhimu, wakiwemo viongozi, wateja, na wadau mbalimbali, ili kusherehekea kwa pamoja katika mwezi huu wa Ramadhani. Iftar hiyo ilifanyika katika hotel ya Madinat Al Bahr. Katika hotuba yake,Mkuu wa Kitengo cha Malipo kwa…

Read More
  • Kitaifa

KIHENZILE AWAPONGEZA WAFANYAKAZI WIZARA YA UCHUKUZI UTEKELEZAJI MIRADI

taifatz8 months ago8 months ago02 mins

Na Mwandishi Wetu, Dodoma  Naibu Waziri wa Uchukuzi David Kihenzile amewapongeza wafanyakazi wa Wizara ya Uchukuzi pamoja na taasisi zilizo chini ya wizara hiyo kwa kufanya vizuri katika kufanikisha utekelezaji wa miradi mbalimbali ambayo ni mikubwa na ya kimkakati. Kihenzile ameyasema hayo leo Machi 21 2025 wakati wa kufungua mkutano wa baraza la wafanyakazi wa…

Read More
  • Kitaifa

WIZARA YA NISHATI YATAJA MAFANIKIO UTEKELEZAJI MAJUKUMU 2024/2025

taifatz8 months ago8 months ago03 mins

Na Mwandishi Wetu,Dodoma Naibu Waziri Nishati, Judith Kapinga kwa niaba ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko ametaja mafanikio yaliyopatikana katika Wizara kwa mwaka 2024/2025 mojawapo ikiwa ni kuimarika kwa uzalishaji wa umeme. Akiwasilisha mafanikio hayo kwa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Njshati na Madini, leo Machi 21 jijini…

Read More
  • Kitaifa

ETDCO WAKAMILISHA MRADI WA KILOVOLTI 132 TABORA URAMBO

taifatz8 months ago8 months ago02 mins

Na Mwandishi Wetu,Tabora KAMPUNI ya Ujenzi na Ukarabati wa Miundombinu ya Usafirishaji na Usambazaji wa Umeme ( ETDCO) imefanikiwa kuwasha rasmi laini ya msongo wa Kilovolti 132 yenye mrefu wa kilomita 115 kutoka Tabora hadi Urambo ambao unakwenda kuwasaidiawananchi wa Urambo na Kaliua kupata umeme wa uhakika nakuchochea maendeleo. Akizungumza leo Machi 20, 2025 Mkoani…

Read More
  • Kitaifa

KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YAPONGEZA UJENZI WA JENGO LA WIZARA YA NISHATI MTUMBA

taifatz8 months ago8 months ago02 mins

Na Mwandishi Wetu, Dodoma Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini imekagua ujenzi wa jengo la Wizara ya Nishati katika mji wa Serikali Mtumba na kuipongeza Wizara kwa hatua ya ujenzi iliyofikiwa kwa asilimia 94. Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Mhe. David Mathayo amesema hayo tarehe 20 Machi 2025, wakati wa ziara ya kukagua…

Read More
  • Kitaifa

GAWIO KUTOKA KAMPUNI AMBAZO SERIKALI INA HISA CHACHE ZAPAA KWA ASILIMIA 236

taifatz8 months ago8 months ago03 mins

Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaam Dar es Salaam. Gawio kwa Serikali kutoka kampuni ambazo ina umiliki wa hisa chache limeongezeka kwa asilimia 236 katika kipindi cha miaka mitano iliyopita. Katika mwaka ulioishia Juni 2024, Serikali kupitia Ofisi ya Msajili wa Hazina ilipokea kiasi cha Sh195 bilioni kama gawio, ikiwa ni ongezeko kutoka Sh58 bilioni miaka…

Read More
  • 1
  • …
  • 31
  • 32
  • 33
  • 34
  • 35
  • …
  • 42

Habari Zote Mpya

  • HALI YA HUDUMA YA MAJI DAR, PWANI NI SHWARI’
  • MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI: UCHAGUZI MKUU WA 2025 NI HALALI
  • OTHMAN:NITAREJESSHA HADHI YA ZANZIBAR DUNIANI
  • BILIONI 21.9 ZA TACTIS KUJENGA KM 8.4 ZA BARABARA MANISPAA YA MPANDA
  • TAJU YASISITIZA AMANI SIKU YA UCHAGUZI
  • VIONGOZI WA DINI KANDA YA KATI WATAKA AMANI UCHAGUZI MKUU
  • VIONGOZI WA DINI KANDA YA KUSINI WATAKA ULINZI AMANI,KUJITOKEZA KUPIGA KURA
  • REA YATOA MAFUNZO YA NISHATI SAFI KWA MAKUNDI MAALUM
  • MAASKOFU,MASHEIKH NYANDA ZA JUU WAHIMIZA UCHAGUZI WA AMANI
  • MRADI WA TAZA KUFUNGUA SOKO JIPYA LA BIASHARA YA UMEME AFRIKA.

Habari Zote

  • Biashara
  • Burudani
  • Fashion
  • Gazeti Taifa
  • Kimataifa
  • Kitaifa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Siasa
  • Uchumi
© 2024 Taifa Tanzania. All rights reserved. Powered By BlazeThemes.