DK.MAPONGA:WAAFRIKA TUUNGANE TUPAMBANE NA MIFUMO YA NCHI ZA MAGHARIBI

Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaam NCHI za Afrika zimetakiwa kuungana ili kuwa na nguvu moja yakupambana na mifumo iliyowekwa na nchi za Magharibi kwa ajili yakujinufaisha kiuchumi na kusababisha migogoro  baina ya viongozi na wananchi wa  nchi hizo kwa kiasi kikubwa. Kauli hiyo imetolewa na Mwanajumui wa Afrika na Mwanafalsafa kutoka Zimbabwe, Dk. Joshua Maponga,…

Read Full News

WIZARA YA MALIASILI YAENDELEA KUWASILISHA TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA MAJUKUMU YA TAASISI ZAKE KWA KAMATI YA BUNGE

Na Mwandishi Wetu,Dodoma KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii inayoongozwa na Mwenyekiti wake Mhe. Timotheo Mzanva (Mb) imeipongeza Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) kwa ubunifu wake katika sekta ya uhifadhi na utalii, ubunifu uliosababisha ongezeko kubwa la watalii na mapato ya Serikali. Pongezi hizo zimetolewa baada ya Kamati kupokea…

Read Full News

REA YASAINI MIKATABA YA TRILIONI 1.2 YA KUSAMBAZA UMEME KATIKA VITONGOJI 9,009

Na Mwandishi Wetu,Dodoma SERIKIALI kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) imesaini mikataba 30 yenye thamani ya shilingi Trilioni 1.2 kwa ajili ya kutekeleza Mradi wa Kusambaza Umeme katika Vitongoji 9,009 utakaonufaisha Wateja wa awali 290,300 katika mikoa 25 ya Tanzania Bara. Akizungumza katika hafla hiyo leo, Januari 17, 2026 Waziri wa Nishati, Mhe. Deogratius Ndejembi…

Read Full News

MAAFISA MAWASILIANO WAANDALIWA KUKABILIANA NA MABADILIKO YA TEKNOLOJIA

NA Mwandishi Wetu,Morogoro CHAMA Cha Maafisa Mawasiliqno wa Serikali Tanzania (TAGCO) kimeendelea kutoa mafunzo mbalimbali ikiwemo matumizi ya teknolojia ya Akili unde (Artificial Intelligence – AI) kwa Maafisa Mawasiliano wa serikali kwa lengo la kuhakikisha wanafanya kazi kuendana na mabadiliko ya teknolojia. Mafunzo hayo yanayoendelea kufanyika Mkoa wa Morogoro yamejikita kuongeza ubunifu katika kazi na…

Read Full News

KAMISHNA MWENDA:MFUMO WA IDRAS UTASAIDIA KUSIMAMIA USAWA KATIKA ULIPAJI KODI

Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaam KAMISHNA Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Yusuph Juma Mwenda amesema Mfumo Jumuishi wa Ukusanyaji wa Mapato ya Ndani (IDRAS) unaotarajiwa kuzinduliwa hivi karibuni utaongeza wigo wa Kodi na kusimamia usawa katika ulipaji wa kodi. Hayo yamebainishwa na Kamishna Mkuu wa TRA Bw. Yusuph Juma Mwenda alipokuwa akifungua…

Read Full News