MRADI WA UMEME JUA KISHAPU UKO MBIONI KUKAMILIKA- MHE SALOME MAKAMBA

Na Mwandishi Wetu,Shinyanga Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Salome Makamba, amesema Mradi wa Umeme unaozalishwa kwa nguvu ya Jua uliopo Kishapu, Mkoani Shinyanga, uko mbioni kukamilika ambapo jumla ya megawati 50 zinatarajiwa kuingizwa kwenye Gridi ya Taifa ili kuimarisha upatikanaji wa umeme katika Mkoa wa Shinyanga na mikoa jirani. Mhe. Salome ameyasema hayo Januari 9,…

Read Full News

UDOM, WIZARA YA KATIBA NA SHERIA, LSF WASHIRIKIANA KUIMARISHA HUDUMA ZA MSAADA WA KISHERIA

Na Asha Mwakyonde, DODOMA WIZARA ya Katiba na Sheria imesaini mkataba wa makubaliano na Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) pamoja na Shirika la Legal Services Facility (LSF), kwa lengo la kupanua na kuimarisha huduma za msaada wa kisheria kwa wananchi ili waweze kupata haki zao kwa urahisi zaidi. Kupitia makubaliano hayo, Chuo Kikuu cha Dodoma…

Read Full News

TANZANIA NA UGANDA ZAWEKA HISTORIA UJENZI WA BOMBA LA MAFUTA GHAFI AFRIKA MASHARIKI (EACOP)

Na Mwandishi Wetu,Tanga WAZIRI wa Nishati na Maendeleo ya Madini wa Uganda, Dkt. Ruth Nankabirwa, ameipongeza Tanzania kwa hatua kubwa iliyofikiwa katika utekelezaji wa Mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki (EACOP), unaotekelezwa kwa ushirikiano kati ya Tanzania na Uganda. Dkt. Nankabirwa ametoa pongezi hizo leo tarehe 6 Januari, 2026 jijini Tanga, wakati…

Read Full News