MKUTANO WA WAKUU WA TAASISI ZA UMMA KUCHOCHEA MAGEUZI NA USHINDANI

Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaam KATIKA kuendeleza juhudi za Serikali kuhakikisha taasisi za umma zinakuwa sehemu hai ya uchumi wa kisasa, Ofisi ya Msajili wa Hazina imeandaa kikao kazi maalum ‘CEO Forum 2025’ kitakachowaleta pamoja Wenyeviti wa Bodi na Watendaji Wakuu wa mashirika ya umma nchini wapatao 700. Mkutano huo unaotarajiwa kufanyika Agosti 23-26 jijini…

Read Full News

CCM BUMBULI WALIA NA WAGOMBEA WALIOVUNJA TARATIBU ZA KAMPENI

Na Mwandishi Wetu,BumbuliWAKATI Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ikitarajiwa kutangaza rasmi majina ya wagombea ubunge na udiwani watakaokiwakilisha chama hicho katika Uchaguzi Mkuu wa 2025, baadhi ya watia nia wa Jimbo la Bumbuli wameeleza kutoridhishwa na mwenendo wa baadhi ya wenzao katika mchakato wa kampeni. Watia nia hao na wajumbe wamesema kuwa baada…

Read Full News

NRA YAINGIA RASMI MBIO ZA URAIS, HASSAN ALMASI ATAJA NGUZO TATU ZA MATUMAINI

Na Asha Mwakyonde, Dodoma MGOMBEA wa Urais kupitia Chama cha National Reconstruction Alliance (NRA), Hassan Almas, pamoja na Mgombea mwenza wake, Ally Hassan, leo Agosti 9, 2025, wamekuwa wa pili kuchukua fomu ya kugombea Urais katika Ofisi za Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), zilizopo jijini Dodoma. Akizungumza na waandishi wa habari mara baada…

Read Full News

TANESCO YAANZA ZOEZI LA UKAGUZI WA MITA KUBAINI UPOTEVU NA WIZI WA UMEME UNAOFANYWA NA BAADHI YA WATEJA

Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaam SHIRIKA la Umeme Tanzania (TANESCO) limetangaza kuanza kwa zoezi la ukaguzi wa mita za wateja nchini ili kudhibiti mapato na kubaini wateja wasio waaminifu wanaotumia umeme bila kulipia. Hayo yamesemwa na Kaimu Mkurugenzi wa Mawasiliano na huduma kwa wateja wa TANESCO Irene Gowelle wakati akizindua Ofisi ya Huduma kwa Wateja…

Read Full News

MBUNGE KIBAHA ADAIWA KUHARIBU MCHAKATO KURA ZA MAONI

Na Mwandishi Wetu,Pwani WANACHAMA wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)  katika jimbo la Kibaha Mjini wilayani ya Kibaha mkoani Pwani wamedai kuwa uchaguzi wa ndani wa chama hicho ulitawaliwa na  vitendo vya rushwa na kusababisha wajumbe kupitisha viongozi wasiokuwa waadilifu. Wakizungumza kwa nyakati tofauti viongozi na wananchi wa eneo hilo walidai kuwa kuna haja ya kubadilisha…

Read Full News