MAASKOFU,MASHEIKH NYANDA ZA JUU WAHIMIZA UCHAGUZI WA AMANI
Na Mwandishi Wetu, Mbeya VIONGOZI wa dini kutoka mikoa ya Nyanda za Juu Kusini wamewataka Watanzania kujitokeza kwa wingi kushiriki Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba 29, 2025, huku wakisisitiza umuhimu wa kudumisha amani kabla, wakati na baada ya Uchaguzi huo. Viongozi hao kutoka mikoa ya Mbeya, Iringa, Njombe, Songwe na Rukwa wametoa kauli hiyo leo Oktoba…

