
SIMBACHAWENE AIPONGEZA MSLAC KWA KUIMARISHA AMANI NA MAENDELEO
Na Asha Mwakyonde, DODOMA WIZARA ya Katiba na Sheria imepongezwa kwa ufanyaji kazi katika Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia (MSLAC), ambao umerahisisha mambo na kufungua maendeleo. Hayo yalisemwa jana jijini hapa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, George Simbachawene wakati alipotembelea banda la wizara…