MIRADI YA UMWAGILIAJI KUONGEZA UZALISHAJI AJIRA KWA VIJANA
Na Aziza Masoud, Dodoma SERIKALI imeendelea kuwekeza katika miradi ya umwagiliaji kwa lengo la kuwawezesha wakulima kupata maji ya uhakika kwa ajili ya uzalishaji wa mazao ya chakula, mboga mboga na matunda kwa lengo la kuongeza tija na kuimarisha kipato kwa wananchi. Akizungumza leo Agosti 3, 2026 jijini Dodoma katika Maonesho ya Wakulima ya Kimataifa …

