OTHMAN AAHIDI KUFANYA MABADILIKO VISIWA VIDOGO VIDOGO UNGUJA NA PEMBA
Na Mwandishi Wetu,Pemba Mgombea Urais wa ACT Wazalendo, Othman Masoud Othman, ameahidi kuleta mageuzi makubwa katika utoaji wa huduma za kijamii kwa wananchi wanaoishi katika visiwa vidogo vidogo vya Zanzibar, akisisitiza kwamba Serikali yake itahakikisha kila Mzanzibari anahisi kuwa sehemu ya nchi bila kujali umbali alipo. Othman aliyasema hayo mara baada ya kuwasili Kisiwa cha…

