OTHMAN AAHIDI KUFANYA MABADILIKO VISIWA VIDOGO VIDOGO UNGUJA NA PEMBA

Na Mwandishi Wetu,Pemba Mgombea Urais wa ACT Wazalendo, Othman Masoud Othman, ameahidi kuleta mageuzi makubwa katika utoaji wa huduma za kijamii kwa wananchi wanaoishi katika visiwa vidogo vidogo vya Zanzibar, akisisitiza kwamba Serikali yake itahakikisha kila Mzanzibari anahisi kuwa sehemu ya nchi bila kujali umbali alipo. Othman aliyasema hayo mara baada ya kuwasili Kisiwa cha…

Read More

TOTAL ENERGIES YAANZA KUTOA ELIMU YA USALAMA BARABARANI KWA WANAFUNZI DODOMA

‎Na Mwandishi Wetu,Dodoma MKURUGENZI wa Sheria na Uhusiano wa Kampuni ya TotalEnergies Tanzania, Getrude Mpangile, amesema kampuni hiyo imetoa  Elimu ya usalama barabarani katika Shule ya Msingi Mnadani Septemba 24,2025 ikiwa ni mara ya kwanza kufanyika katika Mkoa wa Dodoma,‎‎Amesema elimu hiyo inalenga kuwafundisha watoto sheria na kanuni za usalama barabarani ili waweze kutumia barabara…

Read More

HUDUMA YA MAJI DAR NA PWANI IMEIMARIKA

Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaam MAMLAKA ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imeendelea kuimarisha upatikanaji wa huduma ya majisafi ndani ya eneo lake la kihuduma na kuendelea kupita mtaani kujiridhisha upatikanaji wa huduma hiyo kwa Wananchi katika Mikoa ya Dar es Salaam na Pwani. Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano DAWASA, Everlasting…

Read More

MAJIKO BANIFU 1000 KUUZWA KWA BEI YA RUZUKU KATIKA MAONESHO YA MADINI GEITA

Na Mwandishi Wetu,Geita IMEELEWA kuwa majiko banifu yanayotolewa kwa bei ya ruzuku na Wakala wa Nishati Vijijini (REA), ni majiko yanayotumia kiasi kidogo cha mkaa kulinganisha na majiko mengine ya mkaa. Hayo yamebainishwa na Wataalam kutoka REA wanaoendelea kutoa elimu kwa wananchi katika Maonesho ya Nane ya Kitaifa ya Teknolojia ya Madini yanayofanyika katika viwanja…

Read More