CDICD YAONGEZA THAMANI YA BLACK GRANITE
🔸Uchakataji wa kisasa waongeza ushindani wa bidhaa za Tanzania katika soko la ndani na nje 🔸Uwekezaji wa kampuni wafungua ajira kwa vijana na kuchochea maendeleo ya viwanda Na Mwandishi Wetu,Dodoma KAMPUNI ya CDICD Group Limited imeendelea kuimarisha mnyororo wa thamani katika Sekta ya Madini kwa kuchakata madini ya black granite na kuzalisha bidhaa mbalimbali za…

