
SIMBACHAWENE AIPA ‘TANO’ PURA
Na Asha Mwakyonde, DODOMA WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, George Simbachawene amepongeza Mamlaka ya Udhibiti wa Mkondo wa Juu wa Petroli (PURA),kwa kazi ambazo mamalaka hiyo inazifanya. Hayo aliyasema jana jijini hapa alipotembelea banda la PURA katika maadhimisho ya Kitaifa ya Wiki ya Utumishi wa Umma…