
WATUMISHI WA MAGEREZA MANYARA WAPATIWA MAJIKO YA GESI
NA Mwandishi Wetu,Manyara SERIKALI imewapatia watumishi wa Jeshi la Magereza mitungi ya gesi na majiko ya gesi ya kupikia ili kuhamasisha matumizi ya nishati safi ya kupikia kwa watumishi na wananchi iliyolenga kufikia malengo yaliyoainishwa kwenye mkakati wa kitaifa wa matumizi ya nishati safi ya kupikia nchini. Hayo yamebaibishwa leo Juni 26, 2025 na Mwenyekiti…