
MBUNGE KIBAHA ADAIWA KUHARIBU MCHAKATO KURA ZA MAONI
Na Mwandishi Wetu,Pwani WANACHAMA wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika jimbo la Kibaha Mjini wilayani ya Kibaha mkoani Pwani wamedai kuwa uchaguzi wa ndani wa chama hicho ulitawaliwa na vitendo vya rushwa na kusababisha wajumbe kupitisha viongozi wasiokuwa waadilifu. Wakizungumza kwa nyakati tofauti viongozi na wananchi wa eneo hilo walidai kuwa kuna haja ya kubadilisha…