
UKATILI DHIDI YA WATOTO NA VIJANA WAPUNGUA: WAZIRI DKT. GWAJIMA
Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaam WAZIRI wa Maendeleo ya Jamii Jinsia Wanawake na Makundi Maalum Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima amesema matokeo ya Utafiti wa Ukatili dhidi ya Watoto na Vijana wa mwaka 2024 yanaonesha Ukatili umepungua ukilinganisha na Utafiti kama huo uliofanywa Mwaka 2009. Dkt. Gwajima ameyasema hayo wakati akitangaza matokeo ya utafiti huo Juni…