
DKT. MWAISOBWA AKABIDHIWA PRESSCARD
Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaam KAIMU Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB) Wakili Patrick Kipangula leo amemkabidhi Kitambulisho cha Uandishi wa Habari (Presscard) Dkt. Cosmas Mwaisobwa ambaye ni Msaidizi wa Makamu wa Rais (Hotuba) . Dkt. Mwaisobwa amepokea Kitambulisho hicho leo tarehe 05 Agosti, 2025 baada ya kukidhi vigezo vinavyohitajika…