
TASAC YAONGEZA USALAMA WA VYOMBO VYA USAFIRI MAJINI KISASA
Na Asha Mwakyonde, DODOMA SHIRIKA la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC), kwa kuimarisha usalama wa vyombo vya usafiri wa majini kwa kuhakikisha vinatoa huduma salama na ufanisi kwa wananchi ikiwa ni pamoja na kufanya ukaguzi wa mara kwa mara kwenye maeneo yote ya mwambao na maziwa. Hayo yalisemwa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais,…