MRADI WA TACTIS WALETA NEEMA KWA WANANCHI WA SONGEA
Na Mwandishi Wetu, Ruvuma WANANCHI wa Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma, wameanza kunufaika na uboreshaji wa miundombinu kupitia Mradi wa Uendelezaji Miundombinu ya Miji Tanzania (TACTIC), unaotekelezwa chini ya Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) kwa mkopo nafuu toka Benki ya Dunia. Mkurugenzi Mtendaji wa Manispaa ya Songea, Wakili Bashir Muhoja, akizungumza manufaa…
TUME YA MIPANGO YATAKA SERA,SHERIA ZINAZOENDANA NA DIRA 2050
Na Aziza Masoud,Dar es SalaamTUME ya Taifa ya Mipango (NPC) imesema miongoni mwa vitu ambavyo wataviangalia kwa ukaribu ni sera na sheria za nchi ziweze kuendana na Dira ya Taifa 2025-2050 ili kuweza kutekeleza mpango huo kama inavyotarajiwa. Kauli hiyo imetolewa leo Agosti 19, 2025 na Naibu Katibu Mtendaji anayeshughulikia Mipango ya Kitaifa wa Tume…
UMEME JUA KUCHOCHEA UCHUMI MAENEO YA VIJIJINI
Na Mwandishi Wetu,Lindi SERIKALI Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) imepeleka Mkoani Lindi Mradi wa Umeme Jua wenye thamani ya shilingi milioni 801.74 katika visiwa vyote vitano vilivyopo wilayani Kilwa ikilenga kuongeza upatikanaji wa umeme katika maeneo hayo ambayo yapo mbali na Gridi ya Taifa na kuhamasisha matumizi ya teknolojia…
KIMWANGA ACHUKUA FOMU YA UDIWANI MAKURUMLA
Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaam MGOMBEA wa nafasi ya udiwani Kata ya Makurumla iliyopo Magomeni mkoani Dar es Salaam kwa tıketi ya Chama Cha Mapinduzi(CCM)Bakari Kimwanga amechukua fomu ya kugombea nafasi hiyo huku akiahidi kuendelea kushirikiana na wana Makurumla kukamilisha miradi ya maendeleo. Akizungumza leo Agosti 19,2025 Bakari Kimwanga amesema wanachama wa Chama Cha Mapinduzi(CCM)…
WANANCHI WAIPONGEZA SERIKALI UJENZI WA DARAJA LA MAWE KIJIJI CHA BUTURU
Na Mwandishi Wetu,Butiama WANANCHI wa kijiji cha Buturu Wilayani Butiama Mkoani Mara wameipongeza Serikali kwa kuwajengea daraja ambalo linakuwa mkombozi kwa kupunguza vifo vya wajawazito wakati wa kijifungua pamoja na watoto kusombwa na maji wakati wa kwenda shule kutokana na kuwepo na bonde katika barabara kuu ya kijiji hicho. Bw. Maningu kasombi, Mwenyekiti wa kijiji…
WIZARA YA NISHATI YAJIVUNIA UTEKELEZAJI WA MIRADI SABA KATI YA 17 NCHINI
Na Mwandishi Wetu,Bukombe KATIBU Mkuu wa Wizara ya Nishati, Mha. Felchesmi Mramba amesema kuwa katika miradi ya kimkakati inayotekelezwa nchini Wizara ya Nishati inatekeleza takribani miradi saba. Mhandisi Mramba ameyasema hayo Agosti 17, 2025 wakati wa uzinduzi wa Mpango wa Uwezeshaji wa Kiuchumi kwa Vijana (YEE) ambao unagusa maeneo yanayopitiwa na mradi wa Bomba la…
DKT.BITEKO AZINDUA MRADI UTAKAOWAKWAMUA VIJANA KIUCHUMI KATIKA MAENEO YANAYOPITIWA NA BOMBA LA MAFUTA GHAFI (EACOP)
Na Mwandishi Wetu,Bukombe NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Dkt. Doto Biteko leo amezindua Mpango wa Uwezeshaji wa Kiuchumi kwa Vijana (YEE) ambao unagusa maeneo yanayopitiwa na mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki (EACOP) ikiwa ni jitihada zinazoendelea kufanywa na Serikali katika kuhakikisha kuwa jamii zilizo karibu na miradi zinanufaika…
REA KUSAMBAZA MAJIKO BANIFU 10,650 PWANI
N Mwandishi Wetu,Pwani Wakala wa Nishati Vijijini (REA), imetoa jumla ya Majiko Banifu 10,650 Mkoani Pwani ikiwa ni mwendelezo wa jitihada za Serikali za kuhakikisha kila mwananchi anatumia Nishati Safi ya kupikia nchini. Akizungumza leo tarehe 18 Agosti, 2025 ofisini kwa Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Meneja wa Teknolojia za Nishati kutoka REA, Mha. Michael…
UANDISHI WA HABARI NI TAALUMA ANAYEFANYA KAZI LAZIMA AWE NA VIGEZO
Na. Mwandishi Wetu – MAELEZO, Mbeya WAZIRI wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Prof. Palamagamba Kabudi amesema uandishi wa Habari na utangazaji ni taaluma kama zilivyo taaluma nyingine nchini akisisitza kuwa mtu yeyote anayetaka kutekeleza majukumu yanayohusiana na tasnia hiyo nchini Tanzania, lazima awe na elimu na vigezo vinavyotakiwa. Prof. Kabudi amesema hayo leo Agosti…

