
WAZALISHAJI MAUDHUI WAHAMASISHWA KUCHOCHEA USHIRIKI WA WANANCHI UCHAGUZI MKUU
Na Mwandishi wetu,Dar es Salaam MWENYEKITI wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji wa Mahakama ya Rufaa, Jacobs Mwambegele, amewahimiza wazalishaji wa maudhui mtandaoni kutumia majukwaa yao ya kidijitali kuhamasisha wananchi kujitokeza kwa wingi kupiga kura katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025. Akizungumza leo Agosti, 03 2025, jijini Dar es Salaam wakati wa ufunguzi…