SERIKALI YATENGA FEDHA KUENDELEA KUIMARISHA HUDUMA ZA AFYA YA UZAZI, UZAZI WA MPANGO
Na Hassan Kimweri, WAF – Dodoma Serikali kupitia Wizara ya Afya imetenga fedha za kununua bidhaa za afya ikiwemo afya ya uzazi, mama na mtoto pamoja na uzazi wa mpango na kugharamia mafunzo kwa watumishi wa afya ili kuhakikisha huduma hizo zinaendelea kutolewa kwa ufanisi baada ya kumalizika kwa mradi wa afya ya uzazi na…

