DK.BITEKO:WAFANYABIASHARA JIANDAENI KUSHINDANA KIMATAIFA

Na Aziza Masoud,Dar es Salaam NAIBU Waziri Mkuu Dk.Doto Biteko amesema sera mpya ya Taifa Biashara  ya mwaka 2023 ina lengo la kuwaandaa wafanyabiashara kushindana Kimataifa  hivyo amewataka kujiandaa kuingia katika  ushindani huo. Dk.Biteko ambaye pia ni Waziri wa Madini ametoa kauli hiyo leo Julai 30 wakati wa uzinduzi wa sera hiyo,alisema  sera hiyo  inawaandaa wafanyabiashara kushindana kimataifa, hivyo wafanyabiashara…

Read More

WATEJA ZAIDI YA 250,000 KUJIUNGA NA ‘TCB POPOTE’ HADI KUFIKIA DESEMBA

Na Aziza Masoud,Dar es Salaam BENKI ya Biashara Tanzania (TCB)  imesema inatarajia kuwafikia wateja wapya 250,000  ifikapo Desemba mwaka huu kupitia huduma yao ya ‘TCB Popote’ ambayo itawawezesha wananchi kufungua akaunti kidigitali. Akizungumza jijini Dar es Salaam leo  Julai 30,Mkuu wa Kitengo cha  Ufumbuzi wa Kigitali  wa TCB Jesse Jackson  amesema  lengo la akaunti hiyo ni kuwasogezea wananchi huduma zakifedha karibu. “Malengo…

Read More

Dk.Jafo:Sera ya Taifa ya Biashara itaimarisha mazingira ya biashara

Na Aziza Masoud,Dar es Salaam WIZARA ya Viwanda na  Biashara inatarajia kuzindua Sera ya Taifa  ya Biashara ya 2003  toleo la 2023 ambapo pamoja na mambo mengine itasaidia kuimarika kwa mazingira ya ufanyaji biashara nchini na kuvutia uwekezaji. Akizungumza jijini Dar es Salaam Waziri wa Viwanda na Biashara Dk.Selemani Jafo amssema uzinduzi wa sera hiyo ambayo  ni marejeo…

Read More

DKT.NCHIMBI AWASILI MTWARA

Na Mwandishi Wetu,Mtwara KATIBU  Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, leo amewasili mkoani Mtwara kwa ziara ya kikazi ya siku  tano  huku akiwataka wanachama wa chama hicho kuwa madhubuti kushikamana, kupendana,kushirikiana na kutambua kuwa  wanawajibu wa kuwatumikia watanzania kwa nguvu zote. Hayo ameyasema leo baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Masasi,amesema CCM inaamini…

Read More

WAITARA AKOSHWA NA UJIRANI MWEMA BAINA YA HIFADHI YA SAADANI NA WAWEKEZAJI

Na Catherine Mbena,Saadan Bodi ya Wadhamini ya Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) ikiongozwa na Mwenyekiti wa Bodi, Jenerali (Mstaafu) George Marwa Waitara, jana Julai 24, 2024 ilitembelea Hifadhi ya Taifa Saadani kwa ajili ya kukagua utendaji kazi ambapo ilipata fursa ya kupokea taarifa ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo ya hifadhi hiyo. Akitoa…

Read More

MAHAKAMA YAMWACHIA HURU ALIYEKUA DED MAFIA KASSIM NDUMBO

Na  Mwandishi Wetu, Mafia MAHAKAMA ya Wilaya ya Mafia imemuachia huru mshtakiwa aliyekuwa  Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mafia, Ndugu Kassim Seif Ndumbo baada ya kukosekana ushahidi kufuatia Kesi ya Jinai namba 15768/2024 iliyokuwa ikimkabili. Mahakama imechukua maamuzi hayo baada ya kukosekana shahidi wa mwenendo mzima wa upande wa mashtaka kwenye shauri hilo. Maamuzi hayo…

Read More