DC LUSHOTO ATWIKWA ZIGO LA DIWANI ANAYETUHUMIWA KUNYANYASA WANANCHI

Na Mwandishi Wetu Mwenyekiti wa Kitongoji cha Magamba Kata ya Magamba wilaya ya Lushoto Mkoani Tanga,Mahamudu Kikoti ameiomba serikali kuchukua hatua juu ya diwani anayedaiwa kunyanyaswa wananchi Kwa kuwapora mali zao Kwa mabavu,jambo ambalo limepelekea wananchi kuishi kwa wasiwasi mkubwa. Kikoti ameyasema hayo wakati akizungumza na waandishi wa habari na kumwomba Mkuu wa Wilaya ya…

Read More

‘Msiwafiche  watu wenye ulemavu’

Na Aziza Masoud,Dar es Salaam  Riziki Ndumba ambaye ni fundi cherehani na mlemavu wa mikono amewataka wazazi wenye watoto wenye ulemavu kutowaficha badala yake wawatafutie shule wapate ujuzi. Ndumba ambaye ni muhitimu kutoka Mamlaka ya Elimu na Ufundi Stadi (VETA) Songea amesema tangu ahitimu mwaka 2021,alisema endapo wazazi wake na yeye wangemficha asingepata ujuzi hivyo…

Read More

’T-CAFE’ za TTCL kufungwa mtandao wa intaneti kwa bei nafuu

Na Aziza Masoud,Dar es Salaam SHIRIKA ya Mawasiliano Tanzania (TTCL) imekuja na huduma mpya ambayo itahusisha kufunga mtandao  kwa bei nafuu katika maeneo yenye mkusanyiko wa watu kama vituo vya treni,viwanja vya ndege na mabasi inayojulikana kama(T-CAFE). Akizungumza leo Julai 3, katika Maonesho ya 48 ya Biashara ya Kimataifa(Sabasaba) Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya…

Read More

Nyahende:Mashine ya watoto njiti niliyobuni ni rafiki zaidi

Na Aziza Masoud,Dar es Salaam MKURUGENZI wa kampuni ya Nyahende Medical Divices  George Nyahende amesema  mashine ya watoto wanaozaliwa bila kutimia miezi  (njiti) ambayo ameifanyia ugunduzi na kuitengeneza  kwa teknolojia ya hali ya juu na kwamba ina uwezo wakufanya kazi hata katika maeneo ya vijijini. Nyahende ambaye kitaaluma ni Mhandisi mitambo ametoa kauli hiyo katika Maonesho ya Biashara ya…

Read More