Wananchi washauriwa kutopokea fedha za mauzo ya ardhi mkononi
Na Aziza Masoud,Dar es Salaam KAMISHNA wa Ardhi Msaidizi Mkoa wa Dar es Salaam na Pwani, Shukrani Kando amewashauri wananchi wanaouziana ardhi kuhakikisha fedha za malipo zinawekwa katika akaunti ili kuepuka utapeli. Wito huo ameutoa jana Julai 7, 2024 katika banda lao lililopo katika maonesho ya 48 ya Kimataifa ya Biashara Dar es Salaam (DITF) maarufu kama…