TAWA YATOA MSAADA WA MADAWATI SHULE YA MSINGI CHANGARAWE WILAYANI MVOMERO

Na Mwandishi Wetu,Mvomero MAMLAKA ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA ) imetoa msaada wa madawati 60 yenye thamani ya Shillingi Millioni tano kwa Shule ya Msingi Changarawe iliyopo kata ya Mzumbe, Kijiji cha Changarawe wilayani  Mvomero Mkoa wa Morogoro. Akikabidhi madawati hayo kwa niaba ya Kamishna wa TAWA katika hafla ya kukabidhi madawati hayo iliyofanyika Julai…

Read More

JOKATE AONGOZA JOGGING MAALUM KUHAMASISHA VIJANA KUJIANDIKISHA KWENYE DAFTARI LA WAPIGA KURA 

Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Komredi Jokate  Mwegelo (MNEC)  leo Julai 21 ameongoza Jogging maalum mkoani   Kigoma kwa lengo kuhamasisha vijana kujiandikisha kwenye Daftari la kudumu la wapiga kura . Zoezi uboreshaji wa daftari la  kupiga kura kupitia   Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) limezinduliwa mkoani humo  jana na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa 

Read More

TAMASHA LA USAMBARA TOURISM FESTIVAL LASOGEZWA MBELE

Na Ashrack Miraji Lushoto Tanga Mkuu wa wilaya ya Lushoto,Mkoani Tanga,Jafar kubecha amewaomba radhi wananchi na wageni wote waliotarajia kuja kwenye tamasha la kitalii la “Usambara Tourism Festival” lenye lengo la kukuza uchumi hasa kwenye sekta ya utalii wilayani hapo. Kubecha amesema tamasha hilo ambalo lilipagwa kufanyika Julai 25-27 mwaka huu kuwa limesogezwa mbele kutoka…

Read More

SEMFUKO AWAHIMIZA WATANZANIA KUCHANGAMKIA FURSA YA UFUGAJI WA WANYAMAPORI

Na. Beatus Maganja  MWENYEKITI wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Nchini – TAWA Mej. Jen. (Mstaafu) Hamis Semfuko amewahimiza watanzania kuchangamkia fursa za ufugaji wa wanyamapori zinazopatikana katika Taasisi ya TAWA. Ameyasema hayo jana Julai 13, 2024 alipotembelea banda la Wizara ya Maliasili na Utalii Katika Maonesho ya 48 ya biashara…

Read More

PURA:Asilimia 80 ya wananchi  watatumia   nishati safi ifikapo 2034

Na Aziza Masoud,Dar es Salaam MAMLAKA ya Udhibiti wa Mkondo wa Juu wa Petroli(PURA) imeweka malengo yakuhakikisha ifikapo mwaka 2034 matumizi ya nishati  safi yakupikia kwa wananchi yafikie asilimia 80 ili kuweza kupunguza  matumizi ya nishati ambayo inachafua mazingira. Akizungumza katika jana Maonesho ya 48 ya Biashara maarufu kama Sabasaba Mkurugenzi Mkuu wa PURA Mhandisi Charles…

Read More