EQUITY,SSB KUWAWEZESHA WAFANYABIASHARA KUKOPA KIDIGITALI

 Na Aziza Masoud,Dar es Salaam BENKI ya Equity imesema wafanyabiashara ambao  wanatumia bidhaa za kampuni ya Said Salim Bakhresa(SSB) kwa sasa wana uwezo wakukopeshwa bidhaa hiyo hadi zaidi ya Sh Milioni 300. Akizungumza wakati wa kusaini makubaliano  hayo leo,Mkurugenzi wa biashara wa benki ya Equity  Leah Ayoub amesema makubaliano hayo yaliyoanza 2021. “Tunajua wasambazaji na wajasiriamali wengi wanapata  ya…

Read More

TAMASHA LA USAMBARA TOURISM FESTIVAL LITUMIKE KUHAMASISHA WANANCHI KUSHIRIKI UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA 

Na Ashrack Miraji Lushoto Tanga  MKUU wa Mkoa wa Tanga, Mhe. Dkt. Batilda Buriani ameagiza Tamasha la Utalii la Usambara 2024 (Usambara Tourism Festival 2024) litumike kuhamasisha Wananchi kushiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 unaotarajiwa kufanyika Novemba 27, 2024. Amesema hayo  alipotembelea Wilayani Lushoto akiwa na Kamati ya Usalama ya Mkoa kwa ajili…

Read More

WANANCHI WA  MAGAMBA WATOA WITO KWA SERIKALI KUHUSU VIBALI VYA MGODI WA BOXIATE 

Na Ashrack Miraji  Lushoto Tanga Tanga: Wananchi wa Kata ya Magamba, wilaya ya Lushoto mkoani Tanga, wameiomba Serikali kutoa vibali kwa wawekezaji wa mgodi wa boxite ili waweze kujikwamua kiuchumi. Akizungumza kwa niaba ya wananchi Mwenyekiti wa Kitongoji cha Magamba, Mahamudu Kikoti, alizungumza na mwandishi wetu na kusema kuwa mradi huu ni fursa kubwa kwa…

Read More

TTB YAZINDUA ONYESHO LA NANE LA  S!TE

Na Aziza Masoud,Dar es Salaam  BODI ya Utalii Tanzania (TTB) imezindua rasmi Onesho  la nane la Swahili International Tourism Expo _S!TE (S!TE 2024) ambalo linatarajia  kufanyika jijini Dar es Salaam. Onyesho hilo lenye lengo la kutamgaza utalii nchini linatarajia kuanza  Octoba 11 hadi 13 Jijini Dar es salaam. Akizungumza jijini Dar es Salaam leo Septemba 12, 2024 Mkurugenzi…

Read More

HESLB  KUSHIRIKIANA NA TAASISI TATU KUWASAKA WADAIWA SUGU

Na Aziza Masoud.Dar es Salaam   BODI ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB), kwa kushirikiana na taasisi tatu za kimkakati zimeungana pamoja  lengo likiwa kubadilishana taarifa ili kuwatafuta wanufaika wa mikopo hiyo ambao hawafanyi marejesho. Taasisi walizoingia nazo ni Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA), Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (RITA), CREDITINFO Tanzania…

Read More