ASILIMIA 94.84 WAJIANDIKISHA KUPIGA KURA SERIKALI ZA MITAA

Na Aziza Masoud,Dar es Salaam JUMLA ya wapiga kura 31,282,331 sawa na asilimia 94.83  ya lengo  waliopaswa kuandikishwa katika daftari la wapiga  kura kwa ajili ya uchaguzi wa serikali za mitaa unaotarajiwa kufanyika Novemba 27 mwaka huu ambapo matarajio ilikuwa kuandikisha watu 32,987,579 . Takwimu hizo zimetolewa leo na Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa,Serikali za…

Read More

DC SAME AIBUKIA MTAANI KUHAMASISHA WANANCHI KUJIANDIKISHA KWENYE DAFTARI LA MAKAZI 

Na Ashrack Miraji Same Kilimanjaro  Mkuu wa Wilaya ya Same Mkoani Kilimanjaro Kasilda Mgeni amepita Mtaa kwa Mtaa kuhamasisha wananchi kujiandikisha kwenye daftari la mkazi ili waweze kuwa na sifa za kushiriki kuchagua Viongozi wa Serikali za Mitaa/Kitongoji Novemba 27 mwaka huu 2024. Akizungumza wakati wa ziara hiyo DC Kasilda amesisitiza wananchi ambao bado hawajajiandikisha…

Read More

BANDARI YA TANGA SASA INASHUGHULIKIA MELI KUBWA BAADA YA UWEKEZAJI WA SH BILIONI 429.1

Na Mwandishi Wetu,Tanga.  UTENDAJI wa Bandari ya Tanga umeimarika kwa kiasi kikubwa katika miaka ya hivi karibuni, kutokana na uwekezaji wa serikali wa Sh Bilioni 429.1. Bandari ya Tanga ilijengwa kwa mara ya kwanza mwaka 1914 ili kukidhi mahitaji ya kibiashara na kilimo kaskazini mwa Tanzania. Bandari hii imepata uwekezaji mkubwa wa umma katika kipindi…

Read More

WANANCHI WATAKIWA KUWA NA UTAMADUNI WA KUTENGANISHA TAKA

Na Aziza Masoud,Dar es Salaam JAMII imetakiwa kuwa na utamaduni wa kutenganisha taka rejeshi  na taka ambazo sio rejeshi ili kuweza kupunguza uzalishaji wa taka ambapo kwa sasa  jiji la Dar es Salaam linazalisha  tani 1320 kwa siku.  Akizungumza wakati wa kuzindua mradi wa taka  sifuri ‘zero waste’ katika Shule ya Sekondari ya Wasichana Jangwani unaosimamiwa  na shirika la Mazingira…

Read More

TCAA MBIONI KUTOA LESENI YA MAFUNZO YA URUBANI NIT

Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaam MAMLAKA ya Anga nchini (TCAA) imesema ipo mbioni kukipa leseni Chuo Cha Usafirisha nchini (NIT) kwakuwa  hatua ya mwisho ya ukaguzi ili  kukidhi  vigezo  vya kutoa mafunzo ya urubani nchini. Akizungumza  katika mkutano wa pili wa kimataifa wa lojistiki na Uchukuzi Mkurugenzi  Mkuu wa TCAA  Salim Msangi amesema chuo hicho ambacho kimeshanunuliwa ndege mbili za mafunzo ya…

Read More

SH BILIONI 600 KUGHARAMIA MIRADI MITATU BANDARI KIGOMA

Na Aziza MAsoud,Dar es Salaam SERIKALI inatarajia kutumia Sh Bilioni 600 kwa ajili ya kugharamia miradi mitatu  itakayoboresha huduma ya usafirishaji wa majini mkoani Kigoma  na maeneo yanayozunguka. Akizungumza  wakati wa kufungua  mkutano wa pili wa kimataifa was lojistiki na Uchukuzi,Waziri wa Uchukuzi Profesa Makamu Mbarawa      amesema miradi hiyo ni pamoja na ujenzi wa kiwanda cha meli,ujenzi wa…

Read More

SERIKALI KUWEZESHA  VIFAA VYA UONGEZAJI THAMANI MADINI YA VITO NA USONARA KWA VIJANA

Na Mwandishi Wetu,Dodoma Imeelezwa kwamba Wizara ya Madini kupitia Mpango wa Uchimbaji Madini wa Kesho yenye matumaini (MBT) kwa vijana watakaohitimu katika Kituo cha Jimolojia Tanzania (TGC)  kuwawezesha kwa kuwapatia vifaa na mashine za Uchongaji, Ukataji na Usafishaji madini ghafi zitakazo pelekea kuwa bidhaa bora zenye thamani ya juu. Hayo yameelezwa Oktoba 16, 2024 na Waziri…

Read More

MRADI WA SH BILIONI 678.6 WA TPA KULETA MAPINDUZI YA UPAKUAJI MAFUTA BANDARI YA DAR ES SALAAM

Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaam.  TANZANIA kupitia Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), inatekeleza mradi wa Sh Bilioni 678.6 ambao utaboresha utaratibu wa upakuaji mafuta katika Bandari ya Dar es Salaam. Ujenzi wa Tanks Farm (Matanki ya Mafuta), ambao umefikia asilimia saba, unatarajiwa kuboresha usimamizi wa shehena ya mafuta katika Bandari ya Dar es…

Read More

ULEGA:WATAFITI ACHENI KUZUA TAHARUKI

Na Aziza Masoud,Dar es Salaam WAZIRI  wa Mifugo  na Uvuvi Abdalla Ulega amewataka watafiti  kushirikiana na wizara na taasisi mbalimbali pindi wanapohitaji kutoa matokeo ya tafiti zao ili kupunguza taharuki zinazotokea katika jamii pindi wanapotoa matokeo yao. Ulega alitoa ushauri huo wakati akifungua  jukwaa la tasnia la kuku na ndege wafugwao ambapo alieleza kuwa hivi karibuni kulikuwa taarifa ya…

Read More